Siasa

Vyombo vya ulinzi na usalama Sudan vimezima jaribio la mapinduzi ya Serikali

Maafisa wa Serikali ya Sudan wamesema, watu waliohusika katika jaribio hilo la mapinduzi walijaribu kuchukua udhibiti wa vituo vya Taifa vya redio na televisheni katika mji wa Omdurman, lakini walidhibitiwa nguvu na vikosi hiyyo vya ulinzi na usalama.

Serikali ya Sudan bado haijatangaza watu waliohusika na jaribio hilo la mapinduzi ya kijeshi, ingawa wahusika kadhaa wamekamatwa na wanaendelea kuhojiwa.

Vifaru na wanajeshi kadhaa wameonekana kufanya doria katika miji mbalimbali  nchini humo kufuatia jaribio hilo la mapinduzi ya kijeshi lililoshindwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents