Wabunge Lema na Nassari kuunguruma Takukuru

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini  na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari,  wamesema watakwenda kumuona Mkurugenzi wa Takukuru , Valentino Mlowola ili  kumpa ushahidi  wao kuhusu tuhuma za rushwa kwa madiwani waliokihama chama hicho na kuhamia CCM. Lema na Nassari wataenda kutoa ushahidi kuhusu madiwani 7  waliojiuzulu katika majimbo yao wanaowatuhumu kupokea rushwa ili … Continue reading Wabunge Lema na Nassari kuunguruma Takukuru