Michezo
Wachezaji 3 wa Singida wabadili Uraia na Kuwa Watanzania

Updates 👇
➡️ Wachezaji watatu wa Singida Black Stars 🇹🇿 wamebadili uraia na kuwa watanzania.
✅ E. Keyekeh (27) 🇬🇭 ➡️ 🇹🇿
✅ Arthur Bada (22) 🇨🇮 ➡️ 🇹🇿
✅ Damaro Camara (21) 🇬🇳 ➡️ 🇹🇿
Nani unatamani kumuona akiwa na jezi ya Taifa Stars?