Mwanzoni mwa msimu Klabu ya Simba kupitia viongozi wake waliweka bayana malengo ya timu kuwa ni Nusu Fainali ya CAF Champions Leagu, kulirejesha taji la Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na lile la Azam Sports Federation Cup (FA).
Uzinduzi wa msimu ukaanza na Kauli mbiu ya ‘We are Unstoppable’ ambapo CEO wa wakati huo Barbara Gonzalez (@bvrbvra) akisema kuwa ”Hatuzuiliki, hatushikiki.”
Katika kuhakikisha hilo wanafanikisha Mnyama akaingia sokoni kufanya usajili.
Je usajili wa Simba msimu huu ndiyo kikwazo cha kushindwa kufikia malengo waliyojiwekea..?
1> Dejan Georgevic (Mzungu)
2> Victor Akpan
3> Mohamed Quatarra
4> Nelson Okwa
5> Auqustine Okrah
6> Ismail Sawadogo
7> Nasoro Kapama
8> Habibu Kyombo
9> Moses Phiri
10> Saido Ntibazonkiza
11> Jean Baleke
Imeandikwa na @fumo255