Habari

Wachezaji wetu hawajui maana ya likizo, utamkuta Kibwana Shomari yupo Milimani Morogoro – Haji Manara (+Video)

Haji Manara akizungumzia namna wachezaji wa Ligi Kuu wasivyotumia vizuri muda wao wa likizo wanapopewa na Klabu zao mara baada ya kumalizika kwa mashindano mbalimbali mwisho wa msimu na kutolea mfano wa Kiungo wa PSG, Ander Herrera ambaye kwa sasa yupo Tanzania mapumzikoni.

Manara ameyasema hayo wakati akiutambulisha rasmi mchezo wa hisani baina ya timu Kiba dhidi ya timu Samatta utakaopigwa Juni 18, 2022.

Video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents