Bongo5 ExclusivesBongo5 MakalaFahamuHabariMakalaMichezo

Wafahamu wafungaji bora muda wote timu za taifa Afrika, Ngasa kinara Tanzania

Kutokana na jarida la Africa Facts Zone limetoa orodha ya wachezaji wa Kiafrika ambao wanaoongoza kwa ufungaji katika timu zao za taifa, wafungaji hao ni muda wote kwenye timu zao hadi hivi sasa.
Katika orodha hiyo Tanzania tunawakilishwa na mkongwe Mrisho Ngassa akiwa na magoli 25 tukiwa Tanzania ikiwa nafasi ya 19.
Orodha ya wafungaji hao bora w amuda wote timu za Taifa katika bara la Afrika hii hapa.
1. Zambia – Godfrey Chitalu (79 goals)
2. Malawi – Kinnah Phiri (71 goals)
3. Egypt – Hossam Hassan (68 goals)
4. Cote d’Ivoire – Drogba (65 goals)
5. Cameroon – Eto’o (56 goals)
6. Ghana – Asamoah Gyan (51)
7. Algeria – Islam Slimani (40)
8. Nigeria – Rashidi Yekini (37)
9. Tunisia – Issam Jemâa (36)
9. Senegal – Sadio Mane (33 goals)
10. Guinea – Ibrahima Kandia Diallo (33 goals)
11. Ethiopia – Getaneh Kebede (33 goals)
12. Togo – Emmanuel Adebayor (32 goals)
13. South Africa – Benni McCarthy (31 goals)
14. Gabon – Aubameyang (30)
15.  Mozambique – Tico-Tico (30)
16. Uganda – Emmanuel Okwi (28)
17. Sudan – Nasreldin Jaksa (27 goals)
18. Mali – Seydou Keita (25 goals)
19. Tanzania – Mrisho Ngasa (25 goals)
20. Morocco – Salahedine Bassir (25)
20. Rwanda – Olivier Karekezi (24 goals)
21. Benin Republic – Stéphane Sessègnon (24 goals)
22. Botswana – Jerome Ramatlhakwane (24 goals)
23. DR Congo – Dieumerci Mbokani (22 goals)
24. Burundi – Fiston Abdul Razak (19 goals)
25. Liberia – George Weah (18 goals)
26. Mauritius – Daniel Imbert (17)
27. Niger – Victorien Adebayor (17)
28. Comoros – Ben Nabouhane (16)
29. Congo – Thievy Bifouma (15 goals)
30. Cape Verde – Héldon Ramos (15 goals)
31. Eswatini – Felix Badenhorst (15)
32.Kenya – Dennis Oliech (15)
33. Madagascar – Faneva Imà Andriatsima, Paulin Voavy (14 each)
34. Seychelles – Philip Zialor (14)
35. Chad – Ezechiel N’Douassel (14)
36. Namibia – Rudolf Bester, Peter Shalulile (13 each)
37. Equatorial Guinea – Emilio Nsue (13)
38. Mauritania – Bessam (12)
39. The Gambia – Assan Ceesay (11)
40. CAR – Hilaire Momi (10 goals)
41. Lesotho – Sera Motebang (10 goals)
42. Guinea-Bissau – Nando Có (9 goals)
43. Sao Tome & Principe – Luís Leal (8 goals)
44. Sierra Leone – Mohamed Kallon (8 goals)
45. Djibouti – Mahdi Houssein Mahabeh (6 goals)
46. South Sudan – James Moga (6 goals)
47. Eritrea – Berhane Aregai, Yonas Fesehaye, Yidnekachew Shimangus (5 goals each)
48. Somalia – Abdullahi Sheikh Mohamed (3 goals

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents