Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Wakazi: Rayvanny amewaheshimisha Wasafi duniani, muacheni msanii aondoke kama anataka kuondoka

Kupitia mitandao yake ya kijamii hasa Twitter rapa huyo wa Bongo Fleva Wakazi ameandika kuwa. “Muacheni msanii aondoke if he wants to leave, hizo technicalities na fines ni kukomoana tu… SIO SAWA! Yes i’m talking about WASAFI

Wakazi akaongeza kuwa. “50 Cent alikuwa na Mkataba Shady/Aftermath/Interscope… ila alivyotoa album yake ya GRODT aliuza beyond maelezo kiasi cha kuwapa faida sana label zake. Label ikalazimika kwenda kuupitia mkataba na kufanya Adjustments ili kumpa anachostahili We expect that from Label za Artists”

Hakuishia hapo akamalizia kuwa. “Rayvanny amewaheshimisha sana Wasafi nchini na Duniani; MTV, International Collabos, BET Awards, etc They owed him a free release & transition, na sio ku-play “hardball” as they are doing. He paid his dues!! Label ya msanii should be “Pro Artists”, na sio a heartless machinery.”

Wewe una maoni gani kuhusu hiki kinachoendelea na hizi Tweet za Wakazi??

Related Articles

Back to top button