Walemavu wa miguu kuendesha magari Tanzania, kijana aunda mfumo, TBS na Waziri Mkuu Majaliwa wampa tano (Video)

Bongo5 wiki hii imekutana na kijana @taifa_innovations ambaye amekuja na mfumo ambao utawawezesha walemavu wa miguu au watu waliopooza miguu kuweza kuindesha magari kupitia mikono ambazo zile kazi ambazo zinafanywa na miguu ndani ya magari zitaamishiwa kwenye mikono kupitia kifaa hicho.

Injinia huyo amesema anawashukuru viongozi wa serikali kwani tayari mfumo wake imetua TBS kwaajili ya kuangaliwa usalama wake ili uende kwa jamii na kuanza kutumika na kwa jamii ya watu wenye ulemavu wa miguu.

 

Related Articles

Back to top button