Habari

Walimu wenye malimbuikizo ya mshahara wasilikilizwa Handeni

Maelfu Ya Walimu Wenye Kero Mbalimbali wamejitokeza Kliniki Ya Walimu Na Samia Wilaya ya Handeni Mkoa Wa TANGA Kusikilizwa Na Kikosi KAZI Kutatua Kero zao

 

Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini

Hadi sasa kliniki hiyo imetembea mikoa 24

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents