Habari
Waliofariki kwenye Lori la Mafuta wafikia 24

Serikali ya Nchini Uganda imesema idadi ya vifo kufuatia mlipuko wa Lori la Mafuta katika mji wa Kigogwa karibu na mji Mkuu wa Uganda imeongezeka na kufikia 24.
Ajali hiyo ilitokea Jumanne na kuathiri idadi kubwa ya watu waliokimbilia kuchota mafuta kwenye lori lililokuwa limepata Ajali