Wanajeshi watinga hoteli ya Taifa Stars Madagascar (+Video)

Hali ilivo Nchini Madagascar Wanajeshi wanataka kuwachukua wachezaji wa Taifa Stars kwa Nguvu wakisema wana corona (Aishi Manula,Mbwana Samatta na Bakari Mwamnyeto ). Ikumbukwe Tanzania ina kibarua jioni dhidi ya Madagascar mchezo wa kukamilisha ratiba hatua ya makundi ya kufuzu kombe la dunia.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button