AfyaHabari

Wanakunywa Supu ya Pweza- Rais Samia acharuka (+Video)

Rais Samia alia na lishe nchini  ”Wanakunywa Supu ya Pweza, tuna tatizo na mnalijua mnalificha, watafiti fanyeni utafiti, tuna tatizo na tatizo hili kwa sababu halisemwi ni siri linaumiza zaidi vijana wetu.”

”Mara udongo wa Kongo, lakini tatizo kubwa lipo kwenye Lishe, tatizo letu lipo kwenye lishe sasa watafiti tafuteni tunafanyaje watoto wetu wawe ‘Shababi’, waweze kuzaa watoto wenye Afya.”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliposhiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma.

Related Articles

Back to top button