Wananiuliza mbona sijachana kadi ya Simba – Haji Manara

“Jamaa alikuwa ananiuliza hapa, bwana mbona ulivyohama kule ujarudisha kadi yetu, kadi yetu hujarudisha. Mimi sijawahi kuwa mwanachama wa Simba, mimi mwanachama wa Yanga na kadi yangu nimelipia. Waonyeshe kwenye lager jina langu lipo wapi ?.”

Kuangalia video bofya HAPA

“Yani mtoto wa Sande Manara akawe mwanachama wa Simba, kichaa hiki kitakuwa. Mimi sijawahi, nilikuwa pale kazini, nimefanya kazi muda wangu ulivyoisha nimekuja kwenye timu yangu na mimi ni mwanachama wa Yanga.”

“Waonyeshe lega jina langu lipo wapi, ama nimelipia wapi. Ndugu zangu naomba niwaambie twendeni tukaisapoti timu yetu.”

Related Articles

Back to top button