Michezo
Wapinzani wa Yanga ni watoto wa klabu Bingwa

Wapinzani wa Yanga kutoka Ethiopia klabu ya CBE (Commercial Bank of Ethiopia) msimu huu ndio wanashiriki kwa mara ligi ya Mabingwa Afrika. Pia wamebeba ubingwa wao wa kwanza wa ligi kuu ya Ethiopia katika msimu wa mwaka 2023/24.
CBE imeanzishwa mwaka 1982 Adis Abab