Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Wasanii waliofanya vizuri jukwaani mwaka 2022

Baada ya wasanii kadhaa kufunga mwaka kwa kufanya show kadhaa maeneo tofauti ya hapa nchini, @el_mando_tz kwenye kipindi chake cha Recap na Mando ameitaja show ya @mbosso_ kuwa ndio show bora ya kufungia mwaka.

Mbali na hilo @el_mando_tz amemtaja @rayvanny kama ndio msanii aliyefanya vizuri kwenye show zake zote kwa mwaka 2022 zikiwemo za FIESTA kwa namna ya ubunifu wake.

@el_mando_tz amezitaja baadhi ya show za @rayvanny ikiwemo ya Sumbawanga aliyoingia kama mganga wa kienyeje, show ya Tabora aliyoingia na gari Semi-trella laini pia show ya Dar Es Salaam zote za Fiesta aliyopanda na vifaa vyq kwenda mwezini.

Mbali na @el_mando_tz wewe unahisi msanii gani amefanya vizuri jukwaani kwa mwaka 2022??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents