Bongo5 ExclusivesHabariTechnology

Washindi wa #Gonanmb Fantasy League wamepatikana

Washindi wamepatikana, mkwanja umetoka na tabasamu kama loteee😁🔥🔥

Mwakilishi wa Alphonce Mkilanda ambaye ni mshindi wa pili wa @gonanmb Fantasy League ametinga mjengoni, huku mshindi wa tatu (Naseem Kajuma) na kwanza (Stuart Havertz) wakiwakilishwa na wafanyakazi wa benki yetu kupokea mfano wa hundi wa mkwanja mnene💸💵

Michongo iendeleee…..

Related Articles

Back to top button