HabariSiasa

Wasira amjibu Heche, Gari ni Injini sio Bodi

“Nimemsikia Tundu Lissu ana Chawa wake anaitwa Heche, Kijana mmoja anatoka Tarime hamna kitu, nimueleze, maana yeye anadhani mawazo ni umri, Mimi nina umri mkubwa lakini nina akili za miaka 55 na akitaka akawaulize Madaktari wa Muhimbili na wa India wanasema akili safi kabisa, na gari ni injini sio body” ———Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephan Wasira akiongea Mjini Geita January 29 2025.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents