Watani wa Jadi: Bambo, Abbas Pira kisa Yanga visiwani Zanzibar (+Video)

Klabu za Simba na Yanga ni miongoni mwa timu kongwe barani Afrika na zilizojijengea ufalme mkubwa na kuzoa mashabiki wengi hali iliyopelekea kuwepo na utani wa jadi baina ya miamba hii miwili ya Kariakoo. Msanii wa vichekesho Bambo akiwa na Abbas Pira wakiigiza kama mashabiki wa Simba na Yanga na kutambiana.

Related Articles

Back to top button