Habari

Watanzania waendelea kula bata na promotion ya maokoto

Mwakilishi wa Serengeti Breweries Manispaa ya Iringa Doreen Mchau kushoto pichani akimkabidhi mfano wa Hundi ya Laki tano Agritha Mbilinyi Mshindi wa Drow ya  Maokoto Serengeti Ndani ya Kizibo wakati wa hafla fupi iliyo fanyika katika ukumbi wa Royal Tour Pub mtaa wa Samora Manispaa ya   Iringa jana.

Msimamizi wa Promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo  wa Kampuni ya bia Serengeti Breweries kwa kanda ya Ziwa Raphael Mkama(kushoto) na Afisa Masoko wa kampuni hiyo Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza Majura Chigilo, wakionesha mfano wa hundi ya Sh laki 5 ambayo ni zawadi ya mshindi wa Maokoto Elias James mkazi wa Sengerema aliyeshinda kiasi hicho, lakini hakuwepo kwenye hafla ya makabidhiano kutokana na dharura ya kifamilia, hafla ilifanyika katika bar ya Carfonia A.

Muwakilishi wa SBL, Cherestisto Kiwelo akimkabidhi cheki yenye thamani ya shilingi laki tano Johari Shabari kutoka Kisasa Dodoma aliyejishindia maokoto ya SBL kutoka mkoa wa Dodoma jana usiku Ijumaa, Novemba 18, 2023 jijini Dodoma ilimzawadia shilingi laki 5, Johari Shabari kutoka Kisasa Dodoma aliyejishindia maokoto ya SBL kutoka mkoa wa Dodoma.

Doreen Tagalile, Afisa mauzo kanda ya Dar es slaam kusini (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi laki tano za kitanzania mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo Tumaini Ndumbaro (kulia) katika Svoy Lounge eneo Buza, jijini dar es salaam wikiendi hii.

Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam Selina Amir, akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano (5) kutoka kwa Meneja Masoko wa Serengeti Breweries Kimara Ariel Michael (kushoto) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya Hard Rock.