Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Watu Fresh wataka pambano na Harmonize la kufaya show kwa Mkapa

Kundi la wasanii kutoka katika lebo ya Masata linalofahamika kwa jina la Watu fresh linaloundwa na Mr Kesho pamoja na Maxi Milioea wamezungumza na Bongo Five kuhusu muziki wao na sabau ya kuanzisha kundi hilo.

Wakiongea na @el_mando_tz Watu Fresh wameeleza dhumuni lao huku wakijinadi kuwa wao wana ladha tofauti ya muziki na pia hata fashion kila kitu kwenye muziki.

Wameeleza kuwa kuna changamoto kubwa sana wanapitwa mfano wasanii wenzao kuwakejeli kwa aina ya muziki na muonekano wao, wamemtolea mfano Gigy Money baadhi ya kuwadhihaki na kuwaita ETI ASAKE.

Mbali na hilo wamemuomba Harmonize kufanya nao pambano alilosema anataka msanii wa kufanya ane pambano Uwanja wa Mkapa na kudai kuwa wana uhakika watamkalisha Harmonize.

Unahisi pambano hilo likiandaliwa nani atakalishwa??

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents