Watu Milioni 17 waambukizwa Corona duniani, nchi 50 zinazoongoza kwa maambukizi

Zaidi ya watu milioni 17.71 wameripotiwa kuambukizwa virusi vya corona duniani kote, huku watu 680,146 wakiwa wamekufa kutokana na COVID -19.

Taarifa hizo ni kwa mujibu ya majumuisho ambayo yamefanywa na shirika la habari la Uingereza la Reuters. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, maaambukizi yameripotiwa katika zaidi ya mataifa 210 tangu kuripotiwa kwa mlipuko wa virusi hivyo kwa mara ya kwanza huko nchini China, mnamo Desemba mwaka jana.

Hadi sasa Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na maambukizi 4,578,778 na vifo 153,888 , inafuatiwa na Brazil ambako zaidi ya watu milioni 2 wameambukizwa na watu 92,475 wamekufa mpaka kufikia sasa nchini humo. India inashika nafasi ya tatu kwa kuwa na maambukizi zaidi ya milioni moja na laki sita na vifo 36,511.

Nchi 50 zinazoongoza kwa idadi kubwa ya maambukizi Duniani.
 COUNTRIES AND     TOTAL DEATHS  CONFIRMED    DEATHS PER
 TERRITORIES             CASES      10,000
                           INHABITANTS
 United States     153,888    4,578,778    4.71
 Brazil        92,475     2,662,485    4.41
 India         36,511     1,695,988    0.27
 Russia        13,963     839,981     0.97
 South Africa     8,005     493,183     1.39
 Mexico        46,688     424,637     3.7
 Peru         19,217     414,735     6.01
 Chile         9,533     357,646     5.09
 United Kingdom    46,119     333,805     6.94
 Iran         16,766     306,752     2.05
 Spain         28,445     306,376     6.08
 Colombia       10,105     295,508     2.04
 Pakistan       5,951     278,305     0.28
 Saudi Arabia     2,866     277,478     0.85
 Italy         35,141     247,537     5.82
 Bangladesh      3,132     239,860     0.19
 Turkey        5,691     231,869     0.69
 France        30,238     219,960     4.51
 Germany        9,114     208,767     1.1
 Argentina       3,543     191,302     0.8
 Iraq         4,741     126,704     1.23
 Canada        8,935     116,313     2.41
 Qatar         174      110,911     0.63
 Indonesia       5,193     109,936     0.19
 Philippines      2,039     98,232     0.19
 Egypt         4,774     94,078     0.49
 Kazakhstan      793      90,367     0.43
 Ecuador        5,736     86,232     3.36
 Mainland China    4,634     84,337     0.03
 Sweden        5,743     80,422     5.64
 Oman         421      79,159     0.87
 Bolivia        2,977     76,789     2.62
 Dominican Republic  1,170     71,415     1.1
 Israel        509      70,582     0.57
 Ukraine        1,693     69,884     0.38
 Belgium        9,840     68,006     8.61
 Belarus        559      67,808     0.59
 Kuwait        447      67,448     1.08
 Panama        1,421     65,256     3.4
 United Arab Emirates 351      60,760     0.36
 Netherlands      6,147     54,301     3.57
 Singapore       27       52,513     0.05
 Portugal       1,735     51,072     1.69
 Romania        2,343     50,886     1.2
 Guatemala       1,924     49,789     1.12
 Poland        1,716     45,688     0.45
 Nigeria        878      43,151     0.04
 Honduras       1,337     42,014     1.39
 Bahrain        146      40,982     0.93
 Japan         1,026     38,636     0.08

Related Articles

Back to top button