Michezo

Wawakilishi wa Mwamposa wafunguka kuwapaka wachezaji wa Simba mafuta

Mmoja wa wakilishi wa Apostle Boniface Mwamposa amefunguka namna walivyohusika kwenye ushindi huu wa Simba leo dhidi ya Al Masri kutoka nchini Misri, akidai kuwa waliwapaka wachezaji wote mafuta ya Mwamposa.

Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5

 

 

Imeandikwa na kuandaliwa@Johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents