Michezo
Wazee wa Yanga DSM waja na tamko hili (Video)

Wazee na wanachama wa klabu ya Yanga leo wakiwa Makao Makuu ya klabu ya Yanga Jangwani wametoa msimamo wao juu ya mchezo wa Dabi dhidi ya Simba ulioahirishwa mnamo tarehe 8/3/2025.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa @Johnbosco_mbanga