Michezo
Wazee wa Yanga DSM watoa kali ya mwaka kwa TFF & Bodi ya Ligi

Mapema leo ikiwa ni Mkutano wa Wazee wa klabu ya Yanga pamoja na wanachama wa klabu hiyo Walikuwa na mkutano na Waandishi wa Habari wakitoa tamko juu ya Sakata linaloendelea baada ya mchezo wa Dabi kuhairishwa na kauli za Rais wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania Wallace Karia.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa & @Johnbosco_mbanga