Habari

Waziri Aweso aja na Mtaa kwa Mtaa kutatua kero za wananchi za maji (Video)

 

Waziri wa Maji @jumaa_aweso amezindua kampeni ya Mtaa kwa Mtaa kwaajili ya kutatua kero za maji ambazo zipo mtaani ambapo amedai wakati mwingine kero zinafika kwake na akizituma kwa mahusika changamoto zinatatuliwa kwa muda mfupi.

Aweso ameuwauliza watumishi hao kwanini wanashindwa kwenda kwa wananchi na kuzisikiliza mpaka zifike kwa viongozi wa juu.

Amesema hata vumilia watumishi wazembe ambao wanachafua kazi kubwa iliyofanywa na serikali ya kumtua Mama ndoo kichwani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents