HabariMichezo

Waziri Bashe: Ni ukweli kuwa bei ya chakula imepanda (+Video)

Waziri wa Kilimo – Mhe. Hussein Mohammed Bashe (Mb) akitolea ufafanuzi sababu za kupanda kwa Bei ya chakula Nchini baada ya kuulizwa swali na Mwandishi wa Habari kwenye mkutano uliyowakutanisha Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhuru Yunus pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe; Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao, Wizara ya Kilimo, Mhe. Nyasebwa Chimagu walipokuwa Wakizungumza na Vyombo vya Habari kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Uswizi na Senegali katika Ukumbi Wa Jakaya Kikwete – Ikulu jijini Dares Salaam tarehe 30 Januari, 2023.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents