Habari

Waziri Majaliwa azindua mfumo wa uendeshaji shughuli za Sanaa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kasimu Majaliwa amezindua Mfumo wa usimamizi na uendeshaji kazi za Sanaa AMIS leo tarehe 22 Aprili, 2025 katika ukumbi wa JNICC ambao unaunganisha BASATA na Taasisi nyingine hususani Mamlaka za Serikali za Mitaa hivyo kurahisisha urasimishaji, kuongeza mapato pamoja na uendeshaji shughuli za Sanaa na kuweka kanzi data ya wasanii na wadau wa Sanaa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents