Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Waziri Mchengerwa akutana na Alikiba na kufanya mazungumzo haya

Kupitia ukurasa wa instagram wa Wizara ya Sanaa wamepost video ya Waziri Mohamed Mchengerwa akieleza sababu za kukutana na wasanii na jana alikutana na Alikiba na kufanya naye mazungumzo kuhusu sanaa kwa ujumla.

Mbali na hilo Alikiba naye ameeleza kwa urefu yale waliyoongea na Mhe Waziri mwenye dhamana.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents