Waziri Mkuu azuru kaburi la hayati Magufuli Chato

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirki sala fupi ya kumwombea aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli kwenye kaburi la lake wilayani Chato mkoania Geita.

Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na aliyepiga magoti  ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama.

Related Articles

Back to top button