Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: chanjo ipo anayetaka akachanjwe

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema chanjo ya ugonjwa wa corona ipo hivyo anayetaka kuchanjwa akachanjwe kwa ajili ya kupata kinga. Waziri Mkuu amezungumza hayo kwenye Baraza la Eid lililofanyika kwenye msikiti wa mtoro mkoani Dar es Salaam.

“Naomba niseme chanjo ipo, anayetaka akachanjwe,”-amesema Waziri Mkuu

Related Articles

Back to top button