Waziri Mpango aeleza miujiza ya Mungu ‘Leo siku ya tatu sijatumia mashine ya kupumua’ (Video)

“Ninarudi kazini, kazi ndogondogo nimeshaanza kufanya, nawasihi tuendelee kumuomba Mwenyezi Mungu, atatuvuisha, amenivusha mimi na ninaamini wagonjwa wenzangu niliowaacha hapa watatembea kwa afya kama mimi. Magonjwa yapo mengi, sio mara ya kwanza ninabanwa na kifua, mdogo wangu Nditiye amekufa kwa ajali, vifo vipo vingi, tuondokane na hofu iliyotanda, Mungu yuko pamoja nasi.” Dkt. Mpango.

Related Articles

Back to top button
Close