HabariSiasa

Waziri Nchemba kuhusu mfumuko wa bei (+Video)

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023, amesema kuwa mfumuko wa bei umeendelea kuwa ndani ya lengo la wigo wa asilimia 3 hadi 5 mwaka 2021, mfumuko wa bei uliongezeka na kufikia wastani wa asilimia 3.7 kwa mwaka ikilinganishwa na wastani wa asilimia 3.3 katika kipindi cha mwaka 2020.

“Mfumuko wa Bei umeendelea kuwa ndani ya lengo la wigo wa asilimia 3 hadi 5 mwaka 2021, mfumuko wa bei uliongezeka na kufikia wastani wa asilimia 3.7 kwa mwaka ikilinganishwa na wastani wa asilimia 3.3 katika kipindi cha mwaka 2020. Aidha, mfumuko wa bei ulifikia wastani wa asilimia 3.8 Aprili 2022 ikilinganishwa na asilimia 3.3 Aprili 2021. Kuongezeka kwa mfumuko wa bei kulichangiwa na sababu zilizo nje ya udhibiti wa Serikali zikiwemo kuvurugika kwa mnyororo wa uzalishaji na usambazaji wa bidhaa na huduma katika soko la dunia kutokana na athari za vita baina ya Urusi na Ukraine.” Dkt. Mwigulu Nchemba

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents