Waziri Nchemba – Kutumiana pesa kunakwenda kuongezeka (Video)

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema miamala bado inaendelea kufanyika kama ilivyokuwa awali

Ameeleza, mabadiliko ya tozo yatafanyika kwasababu ya malalamiko na sio kutokana na watu kuacha kufanya miamala ya simu.

 

https://youtu.be/4u4RtWl3UqE

Tume iliyoanzishwa kutathmini suala hilo itakuja na majibu hivi karibuni ili kuleta wepesi kwa watumiaji

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button