
Siku ya leo Waziri wa Michezo Sanaa na Utamaduni Mhe. Damas Ndubaro @damasndumbaro_official amezungumza na wana habari alitoa baraka zake za timu ya mpira wa kikapu ya @pazibasketball
Timu hiyo inatarajiwa kusafiri kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kuchezo michezo ya mtoano kwa ajili ya kukata tiketi ya kwenda Rwanda kwenye michuano ya Kikapu Afrika.
Mbali na hilo @damasndumbaro_official amepewa jezi kama zawadi na timu hiyo.
Video nzima ipo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.