Habari

Waziri wa Tamisemi Jafo asema kuungua moto mabweni ya shule ya wasichana Ashira ni hujuma na sio tatizo la umeme (+Video)

Waziri wa Tamisemi Jafo asema kuungua moto mabweni ya shule ya wasichana Ashira ni hujuma na sio tatizo la umeme (+Video)

Waziri wa Tamisemi, Suleiman Jaffo amesema taarifa za awali kuhusu ajali ya moto ulioteketeza mabweni mawili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ashira ni hujuma. Amesema ukarabati wa shule hiyo utaanza ndani ya majuma mawili huku akitaka shule zote kuimarisha ulinzi.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents