Burudani

Wcb wamefanikiwa kumbadilisha D voice kutoka singeli Mbosso msanii bora

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia video mpya ya D Voice akiwa ma Mbosso kwenye wimbo wa Tunapendana.

Anasema kuwa Mbosso amezidi kuonyesha ubora wake kwenye upande wa Uandishi wa nyimbo na ndio maana Verse yake imewavutia wengi sana.

Anaongeza kuwa mbali ya kuwa na verse kali Mbosso pia amezidi kuonyesha ubora wake wa kutumia misamiati ya Lugha ya Kiswahili kwa ufasaha.

Kwa upande mwingine ameipongeza lebo ya WCB kwa kufanikiwa kumbadilisha (Transform) D Voice kutoka kuwa msanii wa Singeli na sasa ni Bongo Fleva halisi.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima Upo katika akaunti yetu ya YouTube channel ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents