Burudani

Wema aitwa Body ya Filamu sakata la mavazi

Bodi ya Filamu Tanzania imemtaka Staa wa Movie Bongo @wemasepetu kufika katika ofisi hizo kwa ajili ya mahojiano baada ya picha jongevu zilizotafsiriwa kutokuwa na maadili kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha msanii huyo akiwa kwenye mavazi yasiyo na Stara.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents