
“nafikiri Wenje anakaribia kumaliza nchi nzima alikuwa Katavi alikuwa wapi, lakini huyu ni Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria maana yake ni nini mimi kwa mfano ndiye rais nikiweza kutumia bilioni 10 kuisambaratisha CHADEMA ama kuiwekea chadema uongozi ambao ni mfu nitatumia hiyo pesa kama watu wapo tayari kununuliwa”
“Mimi ningekuwa na mamlaka ya juu kabisa Wenje(Ezekia Wenje) hakutakiwa kuwa Mwanachma wa chama hiki (CHADEMA)”
@godbless_lema akizungumza na wanahabari leo Januari 14, 2025 Dar Es Salaam