Habari

Wezi waiba gari na mtoto wa mwezi mmoja akiwa ndani

Wezi waiba gari na mtoto wa mwezi mmoja akiwa ndani

Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Claire O’Neill amejikuta akiungana kwa mara nyingine na mtoto wake wakike wa miezi minne baada ya wezi kuiba gari lake likiwa na mwanae huyo ndani.

 

Ms O' Neill (pictured with her baby shortly after she brought her home) was dragged along the street as she tried to stop thieves stealing her car with her newborn daughter inside

Claire O’Neill mwenye umri wa miaka  39, raia wa Uingereza alimuacha mtoto huyo kwenye gari lake aina ya ‘Audi A3 sports’ nje ya nyumba yake huko Birmingham kabla ya wezi kuliiba hapo jana siku ya Alhamisi majira ya mchana.

Wezi hao waliyokadiriwa kuwa wawili walikuwa wakimfuatilia mama huyo aliyekuwa amempakia mwanae kichanga anayejulikana kwa jina la Eliza kwenye siti za gari hiyo.

The baby girl was in the back seat of a grey Audi A3 S-line (model pictured) when it was taken

Majirani wa karibu wamesema kuwa wamesikia mama huyo akipiga kelele akisema ”mtoto wangu”, ”mtoto wangu” kisha gari kukipimbia.

Ms O'Neill was outside her home (left) when the carjackers jumped in the car and drove off 

Baada ya operesheni ya jeshi la polisi alikutwa mtoto huyo akiwa ameachwa kwenye kituo cha ‘health centre’ kabla ya kurudishwa kwa mama yake ambaye ameonekana kuvuja damu baada ya tukio hilo. Ms O'Neill's baby has now been reunited with her after she was found at Small Heath Health Centre in Birmingham (pictured) 

Mapema hii leo polisi waliweka hadharani picha zinazo muonyesha mama huyo akiwa na mwanae  hospitali.
Claire O'Neill is pictured with her daughter Eliza after they were reunited in hospital following the theft of Ms O'Neill's car while the baby was still strapped in her car seat in the back

Majirani na marafiki wa karibu wamemtumia salamu nyingi za kumtakia gheri kupitia kwenye mitandao yake ya kijamii.

Ms O' Neill (pictured with her baby shortly after she brought her home) was dragged along the street as she tried to stop thieves stealing her car with her newborn daughter inside

Tukio hili linajiri baada ya kupita siku tatu pekee kutokea kwa tukio kama hilo la wizi wa aina ya gari ya Audi S3 maili sita kutoka Nechells.

The front door of Ms O'Neill's home is pictured yesterday with 'It's a girl' banners still stuck on

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents