Burudani
Will Smith alivyoomba msamaha baada ya kumpiga kofi Chris Rock

Will Smith ameamua kuomba radhi kwa waandaji wa tuzo Za Oscars Pamoja na Mastaa Wenzake Waliowania Tuzo Hizo Kwa Kitendo Alichokifanya Kwa Mchekeshaji Chris Rock Cha Kumchapa Kofi Kufuatia Utani Aliouleta Kuhusu Mke Wake JadaPin kettSmith
Mbali na hilo Will Smith Ameshinda Tuzo Yake Ya Kwanza Kabisa Ya Oscar Kama “Muigizaji Bora” Katika Ushiriki Wake Wa Filamu Ya “King Richard”