Burudani
Wizkid amkejeli Davido
Majibu ya Wizkid kwa shabiki ndio yamewapagawisha wengi baada ya kuulizwa kuwa, Wimbo wake hauwezi kufanya vizuri (Kuuza) kama hatakuwa na bifu na OBO Davido??
Wizkid alimjibu shabiki kuwa Hawezi kuwa na bifu na wack maana kila mtu anajua kuwa Davido hana kipaji.
Kwa upande wako unakubaliana na majibu ya Big Wizzy??