Awards
Wizkid awagaragaza Diamond Platnumz na wengine tuzo ya MTV EMA
WIZKID AWAGARAGAZA DOAMOND PLATNUMZ NA WENGINE, AWA MSHINDI TUZO YA BEST AFRICAN ACT Katika Tuzo za MTV EMA Kwa mwaka huu 2021.
Ikumbukwe kuwa Tuzo Hii ilikuwa ikishindaniwa na @wizkidayo ,@diamondplatnumz , @amaarae , @temsbaby na @focalistic
Bofya hapa chini kutazama.
https://www.instagram.com/p/CWRLT7ajsME/