Wolper afunguka baada ya kukumbatiwa na Harmonize ‘Alikuja kumnunulia Sarah vitenge’ (Video)

Msanii wa muziki @harmonize mchana wa leo alitembelea maonesho ya Sabasaba kupitia mabanda ya mastaa Meet Your Star ambapo miongoni mwa mabanda aliyotembelea ni la mpenzi wake wa zamani @wolperstylish . Muigazaji huyo amefunguka kuzungumzia sababu ya wawili hao kuelewana kwa sasa tofauti na awali.

Related Articles

Back to top button