Burudani

Wolper afunguka Tsh Mil. 200 kukamilika kwa ndoa yake, kutoswa na watu

“Diamond alinipigia sana, nimejifunza kitu”

Msanii wa filamu @wolperstylish mwezi November alifunga ndoa na baba watoto wake @richmitindo ambapo kuna mambo mengi yaliibuka baada ya mastaa wengi kuitosa sherehe ya ndoa hiyo.

Miongoni wa mwa watu wa karibu ambao hawakuonekana ni WCB ambapo amedai alikuwa anapigiwa simu mara kwa mara na Diamond kuhusu shughuli yake hiyo ingawa mawasiliano yalikatika mwishoni.

Related Articles

Back to top button