FahamuHabariLifestyle

Yahahamu maeno 10 yenye usalama zaidi dunaini

Kwa mujibu wa jarida la The Safe Cities Index, lililochapishwa na The Economist Intelligence Unit ni ripoti inayoorodhesha miji 60 kulingana na viashirio 76 vinavyohusiana na usalama wa mazingira, kibinafsi na kidijitali.

Kama ilivyo kwa ripoti nyingi ambapo ubora wa maisha na usalama hupimwa, miji ya Skandinavia tena inajipata nafasi katika 10 Bora, huku Australia ikiwa na majiji mawili.

Sasa, acheni tuangalie kwa karibu miji 10 bora iliyo salama zaidi. Usisahau kuangalia wale hatari zaidi chini, pia!

1.Copenhagen kutoka nchini Denmark

Moja ya sababu kuu za cheo cha juu cha usalama cha Copenhagen ni kiwango cha chini cha uhalifu. Ni jiji lenye jeshi la polisi la daraja la kwanza ambalo limefunzwa vyema kiufundi na lina vifaa.pia tofauti ndogo ya masikini na tajiri yanatajwa kuwa pia sababu iliyochangia.

2. Toronto kutoka nchini Canada.

3. Singapore

4. Sydney – Australi

5.Tokyo – Jpan

6. Amsterdam – Uholanzi

7. Wellington – New Zealand

8. Hong Kong – China

9. Melbourne – Australia

10. Stockholm – Sweden

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents