Bongo MovieBongo5 ExclusivesBurudaniUmbea
Yamemkuta Mchekeshaji wa Cheka Tu (Video)
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mchekeshaji kutoka Cheka Tu @ndaro__ ametoa malalamiko yake kuwa imepita mienzi sasa anasumbuana na mtu mmoja ambaye ni Polisi baada ya kumtapeli milioni 5.
Anasema kuwa amefanya kila namna lakini hapewi haki yake na amesafiri mpaka Dodoma lakini msaada hakuna.
@ndaro__ amemuomba Rais wa Nchini Dkt. Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kumsaidia.