Mwanachama wa Mabingwa watetezi Ligi Kuu Tanzania Bara na Azam Sports Federation Cup, Mwakitalima amewatumia salamu Yanga kwa kuwataka wachague Uwanja wowote ule kwaajili ya kuchezea Nusu Fainali ya FA dhidi ya Simba SC lakini watapasuka.