HabariMichezo

Yanga hawamo tatu bora Klabu zinazowania tuzo ya CAF

Yanga SC imeshindwa kupenya kwenye tatu bora ya Klabu zinazowania Klabu ya mwaka Bora Barani Afrika 2022/2023.

Young Africans mwezi Novemba ilitangazwa kuingia kwenye timu tano bora ambapo mwisho wa siku inatafutwa moja pekee itakayokuwa ndiyo Klabu Bora ya Mwaka.

Miamba ya soka Al Ahly, Wydad pamoja na Mamelod ndiyo timu pekee zilizofuzu hadi hatua ya tatu bora.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents