Michezo

Yanga ina jambo lao msimu huu

Yanga inajiandaa kuingia kambini leo Jumatatu pale Avic Town, lakini ukweli ni kwamba haijamaliza kazi katika kusuka kikosi chao cha msimu ujao na baada ya kumtangaza straika wa zamani wa Highlanders ya Zimbabwe na Azam FC, Prince Dube juzi usiku na jana kushusha beki mpya wa kushoto, Chadrack Bokaa ila kazi bado inaendelea.

Hata hivyo, taarifa ambazo nimezinasa ni kwamba ukiondoa Boka umesalia utambulisho mmoja tu wa staa aliyesaini ambaye ni straika Jean Baleke. Ukiacha hao, Yanga bado inasaka saini mbili za mwisho akiwemo winga mmoja wa kazi anamudu kutokea kulia na kushoto na pia kiungo wa Kurithi namba ya Aucho kwa hapo mbeleni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents