Michezo
Yanga na wachezaji wanne tu leo hii

Updates 👇
➡️ Yanga ina wachezaji wanne tu (Substitutes) kwenye mechi ya kirafiki hii leo dhidi ya Singida Black Stars
✅ Farid, Nkane, Isra na Mshery
➡️ Aziz KI na Yao ni majeruhi, Mwamnyeto amepata matatizo ya kifamilia huku wachezaji wengine wakiwa kwenye timu zao za Taifa.